Pages

ABOUT US

Mama peke yake ni kikundi cha wanawake wenye watoto bila kuishi na wazazi wenzao. Kikundi hiki kimeanzishwa na akina mama wenye watoto wanaoishi bila baba kwa ajili ya kusaidiana kimawazo na kiuchumi ili kuwalea watoto hawa katika maadili mema.

1 comment:

  1. Mlee mtoto katika njia impasayo nae hata iacha hata atakapokuwa mzee...

    ReplyDelete