Pages

HISTORY

Maisha ni safari ndefu sana, ambapo msafiri haelewi atafika wapi ila anakumbuka alipotoka.

Mama peke yake ni kikundi cha wanawake wenye watoto bila kuishi na wazazi wenzao. Kikundi hiki kimeanzishwa na akina mama wenye watoto wanaoishi bila baba kwa ajili ya kusaidiana kimawazo na kiuchumi ili kuwalea watoto hawa katika mazingira bora ya kielimu na kijamii pia.

Kulea hakuna ujuzi, tusaidiane na jamii inayotuzunguka.

No comments:

Post a Comment